Mbio za autocross hii leo iliwavutia madereva wenye tajriba ya juu wengi wao wakijitayarisha kwenye mbio za magari kule nanyuki wikendi ijayo.baldev chager, ben muchemi na kyle lucas walitoa upinzani mkali kwenye mbio hizo. Kwenye ligi ya magongo hapa nchini chuo cha multimedia ilinyukwa mabao 8-1 na timu ya blue eagletes ugani city park.