KTN Leo: Kuishi na virusi vya ukimwi

Added on August 19, 2012
Share this video on:
Kumbukumbu ya namna alivyojipata katika hali aliyo nayo sasa inamtoneshea kidonda chake….lakini kuambukizwa virusi vya ukwimi japo imekuwa pigo kubwa kwake,charity muringo anasema hajakata tamaa ya kuishi na kukabiliana na makali ya ugonjwa wa ukimwi wenzake caroline na alice pia wameambukizwa virusi vinavyosababisha ukimwi kiasi cha kutaka kujiua lakini sasa wamebadili nia,watajifunga vibwebwe .katika makala ya maisha peupe jumapili hii, mwanahabari carol nderi anatujuza zaidi kuhusu zaidi kuhusu wanawake hawa na ari yao ya kukabiliana na changamoto za kiafya
Last Modified: 19 Aug 2012 20:54
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 23:50 EAT

On Air:

UpNext »»

23:59Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus