1 KTN Video | Upungufu wa kimasomo miongoni mwa watoto

Features: Upungufu wa kimasomo miongoni mwa watoto

Added on August 19, 2012
Share this video on:
Mtazamaji, ushampeleleza mwanao kuwa na upungufu wowote haswa wa kimasomo. Hii humsababisha asifanye vizuri kwenye mitihani au hata kutoelewa anayofunzwa shuleni? Basi pengine haujakuwa makini kuufahamu upungufu huo unaohitaji masomo maalum. Katika makala yetu maalum tunaangazia jinsi ya kuwagundua wanafunzi kama hawa na mambo ya kuzingatia ili kuimarisha ufahamu wao wa masomo.
Last Modified: 19 Aug 2012 20:51
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 16:57 EAT

On Air: National Geographic

UpNext »»

17:30Case files
18:00Futbol Mundial
18:30KTN Leo
19:30Just for Variety
20:00El Clon
21:00KTN Weekend Prime

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus