Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa kufuatia mashambulizi katika kijiji cha habaswein kaunti ya wajir. Kufikia sasa hali ya taharuki imetanda katika eneo hilo na hasa mpaka wa wajir na garissa. Frank otieno yupo katika eneo hilo na anatueleza hali ilivyo kwa sasa