Muungano wa walimu nchini knut umetoa notisi ya kufanya mgomo katika kipindi cha siku 7 zijazo kuanzia siku ya jumaane. Wakizungumza na wanahabari mapema hii leo, katibu mkuu wa muungano huo david okuta amesema kwamba hii ni baada ya serikali kutotilia maanani notisi ya kisheria nambari 534 iliokubaliana nayo ya mwaka 1997. Nacho chama cha kuppet pia kimeashiria msimamo kama huo. Ali manzu na maelezo zaidi