Waislamu nchini Kenya waliungana na wenzao kote duniani kusherehekea sikukuu ya eid ul fitri, mamia ya waislamu walikusanyika katika viwanja tofauti kwa ibada hii muhimu huku viongozi wakiwasihi wakenya kudumisha amani, mwanahabari hussein mohammed ametuandalia taarifa ifuatayo kuhusiana na sherehe za eid.