KTN Leo: Mashindano ya ngamia Maralal

Added on August 18, 2012
Share this video on:
Wenyeji wa Maralal mwaka huu watakuwa wakiadhimisha miaka ishirini na mitatu tokea kuanzishwa kwa mashindano ya ngamia almaarufu camel derby. Mashindano hayo yamefika tena eneo hilo lengo kuu likiwa ni kuhubiri amani. Kila wakati kumekuwa kukiripotiwa mzozo baina ya jamii tofauti tofauti, swali ibuka sasa ni je, mashindano hayo yatafanikiwa kusitisha ule wizi wa mifugo unaowakabili wenyeji kila wakati?
Last Modified: 18 Aug 2012 20:48
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 16:32 EAT

On Air: KTN Kids

UpNext »»

17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Prem
18:30KTN Leo
19:30Business Focus
20:00El Clon
21:00KTN Prime

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus