Mamia ya wapiganaji wa uhuru hii leo wamekusanyika katika kitongoji kimoja mjini Nyeri kumtembelea mwenzao anayeugua Ndung’u wa Gicheru. Aidha madai mapya yametolewa na wazee hao wakiitaka serikali ya Uingereza kuwaomba msamaha kufuatia unyama waliotendewa na wakoloni miaka ya hamsini. Mwanahabari Sophia Chinyezi na taarifa hiyo.