1 KTN Video | KDF wawauwa Alshabaab

KTN Leo: KDF wawauwa Alshabaab

Added on August 16, 2012
Share this video on:
Wanamgambo sabini na watatu wa kundi la kigaidi la Alshabab wameripotiwa kuuawa katika eneo la fafahdun katika nchi jirani ya Somalia. Mashambulizi hayo yanajiri siku chache tu baada ya helikopta tatu za wanajeshi wa Uganda kuhusika katika ajali katika msitu wa mlima Kenya. Miili mingine mitano imepatikana katika eneo la ajali asubuhi ya leo. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Mohamed Mahmoud, ndege hizo tatu zilitarajiwa kusaidia pakubwa katika mashambulizi dhidi ya wanamgambo hao katika mji wa Kismayo, ambayo ndio ngome yao kuu.
Last Modified: 16 Aug 2012 20:30
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-06-2013 20:06 EAT

On Air: Guiness Football Challenge

UpNext »»

21:00KTN Prime
21:30Perspective
21:50Love 101
22:30Nigerian Idol
23:15Kick off Bundesliga
23:59Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus