KTN Leo: Kinyang'anyiro 10th August 2012

Added on August 10, 2012
Share this video on:
Mtazamaji si siri kwamba safari ya wakenya ya kusaka tume itakayohakikishia taifa uchaguzi wa huru na haki imekuwa na yenye pandashuka nyingi.katiba ilipopitishwa wengi walijawa na matumaini kuwa hatimaye tume huru ya uchaguzi IEBC ingeleta mabadiliko makuu, lakini malumbano ambayo yamekuwepo baina ya makamishna ya tume hiyo kuambatana na zabuni ya sajili za elektroniki kufikia upeo wa kutwika serikali jukumuhilo imewatamausha wengi, suala likiwa je tume ya iebc imepoteza uhuru wake? Na je kuna haja ya wakenya kuendelea kuiamini tume hiyo?ndio hoja inayotupambia makala uyapendayo ya kila ijumaa ya kinyanganyiro.
Last Modified: 10 Aug 2012 21:29
RSS Feeds

Programme Schedule: 24-05-2013 22:59 EAT

On Air: World Strongest man

UpNext »»

23:15Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus