Wafungwa kutoka kaunti ya Nairobi walitangamana pamoja hii leo mchana kwa tamasha la kudhihirisha talanta zao , jukwaa la kudhihirisha talanta zao lilikuwa katika gereza la eneo la viwandani hapa Nairobi, na bila shaka ilikuwa dhahiri shairi kuwa licha ya kuwa wamefungwa kutokana na kosa moja au jengine wafungwa hao walidhihirisha kuwa vipawa wanavyo.