KTN Leo: Madereva wa teksi wauawa Makadara.

Added on August 10, 2012
Share this video on:
Je ni nani anayewauwa madereva wa teksi na kisha kutupa maiti zao eneo la Nairobi West? Ni maafa ambayo maafisa wa polisi wa kituo cha polisi cha langata wameshindwa kukomesha au hata kuwatia washukiwa nguvuni .kwa muda miezi mitatu sasa madereva wa teksi tisa wamepatikana wameuwa na kutupwa karibu na shule ya msingi ya madaraka.wote wameuawa kwa kupigwa mawe kichwani na watu wasiojulikana . Muthiriwa wa hivi majuzi ni Vincent Mburu ambaye kifo chake kimewaacha madereva wa teksi na wasi wasi mwingi.
Last Modified: 10 Aug 2012 21:26
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 14:34 EAT

On Air: Afri Screen

UpNext »»

16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Hollywood Heights
18:30KTN Leo
19:30Pasua rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus