Jumla ya Wakenya 11 wamefariki katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea mjini tanga nchini Tanzania .Wakenya hao wengi wao walikuwa ni wanawake kutoka kanisa la pcea mjini thika walikuwa wakisafiri kuelekea mjini daresalam kwa mkutano wa kanisa pale ajali hiyo ilipotokea . Kwa mujibu wa maafisa wa polisi nchini tanzania . Zaidi ya watu 40 wamejeruhiwa katika ajali hiyo ya mapema asubuhi