KTN Leo: Nancy Baraza akata rufaa kortini

Added on August 09, 2012
Share this video on:
Hatimaye naibu jaji mkuu aliyesimamishwa kazi Nancy Baraza amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa jopo kumtimua kutoka wadhifa wake huo. Kupitia wakili wake Kioko Kilokumi, Baraza alisema hajatosheka na uamuzi huo. Jopo hilo lililoongozwa na jaji mstaafu augustino ramadhan lilitoa mapendekezo kwa rais kwamba baraza apigwe kalamu kwa kukiuka maadili ya afisa mkuu serikalini. Hii ni baada ya kudaiwa kumtishia maisha mlinda lango Rebeca Kerubo huko village market mwezi Desemba mwaka jana.
Last Modified: 09 Aug 2012 22:46
RSS Feeds

Programme Schedule: 23-05-2013 09:14 EAT

On Air: Mid Morning Lifestyle

UpNext »»

10:30Mariana and Scarlet
11:20World Strongest man
12:00Drive It
12:30Case files
13:00News Desk
13:30IAAF Athletics

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus