KTN Leo: Maadhimisho Ya Waathiriwa Wa Mkasa Wa Bomu

Added on August 07, 2012
Share this video on:
Leo ni Agosti tarehe saba, ikiwa ni siku ya maadhimisho ya waathiriwa wa mkasa wa mlipuko wa bomu, uliotokea hapa Nairobi mnamo mwaka wa 1998. Lakini anavyoripoti Frank Otieno, familia hizo zinahisi upweke kutokana na jinsi serikali inaonekana kunyamaza kuhusu maadhimisho hayo; kwani hii leo walijikusanya kimyakimya wakiwa hapa jijini Nairobi na kuwakumbuka wapendwa wao.
Last Modified: 07 Aug 2012 19:56
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 16:08 EAT

On Air: Mbiu ya KTN

UpNext »»

16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Hollywood Heights
18:30KTN Leo
19:30Just for laughs
20:00Tujuane

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus