Viongozi wakuu nchiini Rais Mwai Kibaki na Waziri Mkuu Raila Odinga wameafikiana na tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kutimia mfumo wa elektroniki kwa usajili na kupiga kura, IEBC ilikuwa tayari imeamua kuwa ingetumia mfumo wa kawaida kwani ilikuwa imekabiliwa na changamoto ya kuamua ni kampuni ipi ipewe zabuni ya kutoa usajili wa electroniki hussein mohammed na taarifa zaidi.