KTN Leo: Watu wajitokeza kusaidia Walemavu

Added on August 05, 2012
Share this video on:
Watu kadhaa wanazidi kujitokeza kusaidia walemavu wasiojiweza ilhali pesa zinazostahili kuwasaidia zinafujwa kama ilivyofichuliwa na wanahabari wa KTN katika makala maalum chauchau la kizezeta. Kutokana na hili familia moja mjini Mombasa imejitokeza na kuahidi kuwaelimisha watoto waliobakia mayatima na ambao mmoja wao pia ni bubu. Hiyo ni kando na kuwapa msaada wa vyakula. Familia hiyo inahimiza watu zaidi kuthamini utu na kuwasaidia wasiojiweza. John Juma na maelezo zaidi
Last Modified: 05 Aug 2012 20:29
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-05-2013 08:27 EAT

On Air: Sunrise Live

UpNext »»

09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon
11:00Kenya Kona Rpt
12:00Just for laughs rpt
12:30Pasua rpt
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus