KTN Leo: Raila Odinga: Hakuna haja ya kijibizana na Miguna

Added on August 05, 2012
Share this video on:
Waziri mkuu raila odinga amesema hana haja ya kujibizana na aliyekuwa mshauri wake wa zamani- Miguna Miguna. Raila ameyasema hayo hivi leo katika eneo bunge lake la Langata, alipowahutubia wafuasi wake katika uwanja wa Kamukunji huko Kibera. Frank Otieno ametuandalia taarifa hiyo ya kampeini za kisiasa, ambapo hii leo Raila na Musalia Mudavadi wamefanya kampeini tofauti hapa nairobi.
Last Modified: 05 Aug 2012 20:17
RSS Feeds

Programme Schedule: 26-05-2013 01:21 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:30A moment with God
07:30Joyce Meyer Ministries
08:00Family Glory
09:00Tukuza Live Gospel Show
13:00News Desk
13:30Sunday Animated classics

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus