KTN Leo: Bunge lapendelea upigaji kura wa elektroniki

Added on August 03, 2012
Share this video on:
Tume ya IEBC imeshauriwa na baraza la mawaziri kurejelea mfumo wa kupiga kura wa elektrokini ambao ulitupiliwa mbali siku ya jumatano na tume hiyo. Mzozo unaohusu zabuni uliipelekea tume hiyo kurejelea mfumo wa awali wa kupiga kura. Baraza hilo linadai kuwa mfumo wa elektroniki utahakikisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki katika uchaguzi mkuu ujao.
Last Modified: 03 Aug 2012 20:48
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 18:21 EAT

On Air: Futbol Mundial

UpNext »»

18:30KTN Leo
19:30Just for Variety
20:00El Clon
21:00KTN Weekend Prime
21:50Box Office Movie: Someone Like you
23:00NBA Highlights rpt

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus