KTN Leo: Wagombeaji wapaswa kuondoka ofisini Septemba.

Added on August 02, 2012
Share this video on:
Watumishi wa umma wenye nia ya kugombea nyadhifa mbalimbali za siasa kwenye uchaguzi mkuu ujao wanafaa wang'atuke afisini ifikapo mwezi septemba mwaka huu. Mahakama kuu imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa mbele yake na mwanaharakati charles omanga kupinga makataa ya miezi sita iliyotolewa na katiba. Katika uamuzi wake jaji isaac lenaola amesema muda huo unatosha kwa afisa yeyote kwenye utumishi wa umma kujiondoa na kuanza kampeni zake.
Last Modified: 02 Aug 2012 20:56
RSS Feeds

Programme Schedule: 26-05-2013 05:14 EAT

On Air: CNN

UpNext »»

06:30A moment with God
07:30Joyce Meyer Ministries
08:00Family Glory
09:00Tukuza Live Gospel Show
13:00News Desk
13:30Sunday Animated classics

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus