KTN Leo: Dereva wa shule ya Acacia asakwa kufuatia ajali

Added on August 02, 2012
Share this video on:
Polisi kutoka eneo la Athiriver wanamsaka dereva wa basi la shule ya watoto ya msingi ya Accacia. Patrick Kuria Ndung'u anatafutwa kwa kusababisha vifo vya watoto watatu wa shule ya msingi baada ya kuvunja kanuni za barabarani. Familia hizo zimewachwa na majonzi baada ya kupoteza watoto wao. Mwanahabari Saida Swaleh na mengi kuhusu taarifa hiyo.
Last Modified: 02 Aug 2012 20:43
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 09:18 EAT

On Air: MID MORNING SHOW

UpNext »»

10:00El Clon rpt
11:20Nigerian Idol
12:00Hapa Kule News
12:00Jaramandia la uhalifu rpt
12:30Jaramandia la uhalifu rpt
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus