KTN Leo: Ukosefu wa maji Mombasa .

Added on August 02, 2012
Share this video on:
Mgogoro umeibuka kati ya kampuni ya huduma za maji jijini mombasa na wauza maji wa mikokoteni mjini humo. Kampuni hiyo inataka baadhi ya vioski vya kuuza maji vifungwe. Lakini muungano wa wauza maji mombasa unadai, wao ndio tegemeo la wakazi wa mombasa, na hivyo onyo la kampuni ya huduma za maji mombasa kufunga vioski vyao litawaacha wakazi wengi bila maji. John juma na taarifa zaidi kuhusu kisiwa kinachozingirwa na bahari lakini hakiwezi kukidhi mahitaji ya maji kwa wakazi wake kikamilifu
Last Modified: 02 Aug 2012 20:42
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 12:39 EAT

On Air: Jaramandia la uhalifu rpt

UpNext »»

13:00News Desk
13:30Football Review
14:30Afri Screen
16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus