KTN Leo: Mazungumuzo Ya UASU Na Serikali

Added on August 01, 2012
Share this video on:
Vyama vya kutetea masilahi ya wafanyikazi wa Vyuo Vikuu vya kitaifa vimeilaumu Serikali kwa kuchelewesha makusudi mazungumzo ya kutekeleza nyongeza ya mishahara na marupurupu yao. Waziri wa Elimu ya Juu Prof. Margaret Kamar hata hivyo hii leo ameanzisha rasmi mazungumzo hayo, huku akikumbana na wakati mgumu kutoka kwa viongozi wa Kitaifa wanaowawakilisha wafanyikazi hao wanaowalaumu manaibu wakuu wa vyuo vikuu kwa kupuuza haki za wafanyikazi. Frank Otieno na taarifa hiyo.
Last Modified: 01 Aug 2012 20:56
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 23:24 EAT

On Air: NBA Highlights rpt

UpNext »»

23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus