KTN Leo: Ugonjwa Wa Ebola

Added on July 31, 2012
Share this video on:
Hakuna haja ya kukagua wasafiri katika mipaka ya kuingia Kenya kupitia Malaba na Busia. Ni kauli yake Mkurugenzi wa afya ya umma shahnaaz shariff akisema kuwa hakuna haja ya wanachi kuwa na hofu yoyote huku serikali ikiimarisha hali ya afya katika maeneo hayo. Hata hivyo vituo vya mabasi ya kueleka uganda vingali na wateja chungu nzima ila kuna upungufu wa wasafiri kutoka nchi ya Uganda wanaoingia Kenya. Mwanahabari Saida Swaleh na taarifa hiyo.
Last Modified: 31 Jul 2012 20:30
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-05-2013 11:21 EAT

On Air: Tukuza Live Gospel Show

UpNext »»

13:00News Desk
13:30Sunday Animated classics
15:00Glamorosa
16:00Mbiu ya KTN
16:10Glamorosa
17:00Samantha Bridal Show

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus