1 KTN Video | Ugonjwa Wa Ebola Uganda

KTN Leo: Ugonjwa Wa Ebola Uganda

Added on July 30, 2012
Share this video on:
Watu kumi na wanne wamefariki magharibi mwa Uganda katika wilaya ya Kibaale iliopo kilomita 170 kutoka jiji la Kampala baada ya kuambukizwa maradhi ya ugonjwa wa Ebola. Mmoja kati ya waliofariki,aliaga dunia jijini Kampala huku Rais Yoweri Museveni akionya Mataifa jirani kujikinga dhidi ya maambukizi ya Ebola . Watu wengine wanaoshukiwa kuwa na virusi vyaEbola wametengwa kutoka hospitali kuu ya Mulago kwa hofu ya maambukizi zaidi. Mwahabari Saida Swaleh na taarifa hiyo.
Last Modified: 30 Jul 2012 20:38
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 23:45 EAT

On Air: Spin circle

UpNext »»

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus