Wanasiasa waliendeleza kampeni zao katika maeneo mbali mbali eneo la bonde la ufa likionekana kulengwa na wengi. Naibu waziri mkuu Musalia Mudavadi, na mbunge wa Eldoret kaskazini William Ruto wote wamaenzisha kampeni zao tofauti katika eneo hilo. Huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa za kisiasa