KTN Leo: Vinara wataka msajili wa vyama vya siasa kuteuliwa haraka

Added on July 28, 2012
Share this video on:
Vinara wa tume ya kitaifa ya haki za binadamu pamoja na taasisi ya masuala ya elimu na demokrasia, I.E.D., wanamtaka waziri wa sheria Eugene Wamalwa kuharakisha utaratibu wa kumteua msajili wa vyama vya siasa haraka iwezekanavyo ili kuweka nidhamu katika ulingo wa siasa. Samuel Tororei na Peter Aling’o wanasema hatua ya serikali kuchelewesha mipango ya kuteua rasmi msajili wa vyama imepelekea baadhi ya wanasiasa kuvunja sheria ya vyama kiholela, huku vyama vingine vikipokea vyeti vya usajili kwa kutumia mbinu za ujanja.
Last Modified: 28 Jul 2012 20:11
RSS Feeds

Programme Schedule: 24-05-2013 18:36 EAT

On Air: KTN Leo

UpNext »»

19:30Hapa Kule News
20:00El Clon
21:00KTN Prime
21:50Case files
22:30World Strongest man
23:15Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus