KTN Leo: Ajali ya barabarani Kibarani, Mombasa

Added on July 28, 2012
Share this video on:
Watu wanne wamefariki Jumamosi huko Mombasa katika ajali mbili tofauti tofauti. Maafa hayo yameweka idadi ya wale waliokufa Mombasa mwezi huu pekee kuwa zaidi ya ishirini. Ajabu ni kuwa ajali zimetokea katika maeneo ambayo yameorodheshwa kuwa hatari. Ndiposa tunauliza swali je watumizi wote wa barabara wanatilia maanani maeneo hatari. John Juma anaangazia baadhi ya maeneo hayo hatari barabarani Mombasa kutahadharisha dhidi ya maafa zaidi.
Last Modified: 28 Jul 2012 20:03
RSS Feeds

Programme Schedule: 19-05-2013 20:54 EAT

On Air: Kenya Kona

UpNext »»

21:00KTN Weekend Prime
21:50Mariana and Scarlet
22:50Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus