Business: Uzinduzi wa Pwani Oil

Added on July 27, 2012
Share this video on:
Kampuni ya mafuta ya kupika na inayotengeneza sabuni kwa jina pwani oil imezindua jinsi mpya ya kupakia mafuta ya kupikia itakayo punguza umwagikaji wa mafuta wakati wa kupika, Na pia yenye uwezo wa kumsaidia mpishi kupima kiwango cha mafuta anachohitaji. Kampuni hiyo inanuia kuhakikisha kuwa wateja wako wamepokea bidhaa hii mpya kote nchini ifikiapo leo.kampuni hiyo pia imesisitiza kuwa wateja wake wa eneo nzima la afrika mashariki wata pata fursa ya kufurahia bidhaa hii ifikiapo mwishoni mwa wiki i, huku uzinduzi zaidi ukitarajiwa kufanyika katika miji ya mwanza, kampala na kigali hapo kesho. Uzinduzi huu umefwatia kampeini iliyo fana iliyoendeshwa na kampuni hiyo toke mwaka uliopita iliyoitwa pwani life hivyo basi kukamilika na uzinduzi huu.
Last Modified: 27 Jul 2012 20:47
RSS Feeds

Programme Schedule: 23-05-2013 06:55 EAT

On Air: Sunrise Live

UpNext »»

09:00Mid Morning Lifestyle
10:30Mariana and Scarlet
11:20World Strongest man
12:00Drive It
12:30Case files
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus