KTN Leo: Uvundo uliofichika katika bohari za Mombasa

Added on July 20, 2012
Share this video on:
Baada ya watu watano kufariki ndani ya bohari mjini mombasa mapema wiki hii walipoporomokewa na magunia ya mchele, sasa inabainika kuwa bohari nyingi nchini hasa mombasa hazikaguliwi kamwe na serikali. Hali hiyo imeacha maisha ya wafanyikazi wengi kuwa katika hatari kubwa. Kadhalika hali hiyo imeruhusu biashara nyingi haramu mfano ulanguzi wa mihadarati kuendeshwa kisiri. Maafisa wa polisi nao wanalaumiwa kupokea hongo kutoka kwa wamiliki wa bohari hizo ili kuficha ukweli kila wafanyikazi wanapotaka kufichua. John juma anapigia darubini masaibu ya wafanyikazi na uvundo uliofichika katika bohari za mombasa
Last Modified: 20 Jul 2012 22:56
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 12:03 EAT

On Air: Drive It

UpNext »»

12:30Case files
13:00News Desk
13:30IAAF Athletics
14:00Afri Screen
16:00Mbiu ya KTN
16:10KTN Kids

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus