Majaji wa mahakama ya juu nchini Mohammed Ibrahim na Roselyne Wendo wametajwa kuwa mmoja wa majaji ambao walishindwa kutekeleza wajibu wao katika idara ya mahakama nchini. Wakitoa uamuzi huo bodi ya kuwapiga msasa majaji iliongozwa na mwenyekiti wake sharad rao, aidha ilimtaja jaji mwenza wa mahakama hio jaji jackton ojwang kuwa na uwezo wa kuhudumia idara ya mahakama. Aidha bodi hio haikutoa maamuzi dhidi ya majaji 3 ambao kwa wanasimamia kesi ya tarehe ya uchaguzi. Ali manzu na taarifa hio.