Sports: Triza Wanjiru Kuhusu Uhusiano Wa Kimapenzi

Added on July 19, 2012
Share this video on:
Triza Wanjiru mkewe bingwa wa mbio za nyika marehemu Samuel Wanjiriu amejitokeza wazi kukana uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la mungiki Maina Njenga wala hajawahi kuolewa naye. Kulingana na Triza maisha yake yamo hatarini kwani kuna watu wanaomuandama na kutaka kumchafulia jina ili itumiwe kama ushahidi wa kesi dhidi yake Mahakamani. Wakili wake atawasilisha barua ya kutaka wale waliochapisha habari hio kupitia ripoti iliyoandikwa na kutolewa na kampuni moja ya mtandao inayofahamika kama Daily Post nchini Kenya kwenye tarakilishi kutoa ushahidi wa ndoa baina yake na Maina Njenga.
Last Modified: 19 Jul 2012 20:21
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-05-2013 08:06 EAT

On Air: Sunrise Live

UpNext »»

09:00Mid Morning Lifestyle
10:00El Clon
11:00Kenya Kona Rpt
12:00Just for laughs rpt
12:30Pasua rpt
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus