Sports: Mary Keitany is geared up for London Gold

Added on July 17, 2012
Share this video on:
Mary Keitany, mmoja wa wanariadha watatu wa kike kuwakilisha kenya katika mashindano ya marathon katika olimpiki ya London anasema kuwa kushiriki kwake kwa mashindana ya Aprili mwaka huu na mwaka jana itamfaidi pakubwa wakati wa olimpiki. Keitany ambaye pamoja na priscah jeptoo na edna kiplagat watawakilisha kenya mwezi ujao, anasema kuwa licha ya ile mzukumo wa kufanya vyema, yuko tayari kushinda medali ya dhahabu.
Last Modified: 17 Jul 2012 21:07
RSS Feeds

Programme Schedule: 20-06-2013 07:39 EAT

On Air: Sunrise Live

UpNext »»

09:00Mid Morning Lifestyle
10:30Mariana and Scarlet
11:20World Strongest man
12:00Drive It
12:30Case files
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus