KTN Leo: Wenyeji wachoma sanamu ya Miguna Miguna

Added on July 17, 2012
Share this video on:
Hayuko nchini na makaazi yake mapya ni kitendawili, lakini Miguna Miguna ndio alikuwa gumzo la Nyando, eneo, alikozaliwa. Wenyeji wakiongozwa na mbunge wao, Fred Outa waliingia mjini kudhihrisha ghadhabu zao dhidi ya Miguna Miguna na kitabu chake cha Peeling Back the Mask, kinachomlimbikizia kila aina ya sifa mbaya kinara wa ODM Raila Odinga. Hawakusaza machungu yao, walibeba sanamu ya Miguna na kuiteketeza moto, lakini ari yao ya kuizika sanamu hiyo nyumbani kwa kakake miguna, ilikatizwa na maafisa wa polisi. Na sasa kakaake eric miguna anaitaka serikali kuwapa usalama kutokana na vitisho wanavyovipokea.
Last Modified: 17 Jul 2012 20:48
RSS Feeds

Programme Schedule: 24-05-2013 10:28 EAT

On Air: Mid Morning Lifestyle

UpNext »»

10:30Mariana and Scarlet
11:20National Geographic
12:00Tomorrow Today
12:00Living with Fran (Sitcom)
12:30Ajabu
13:00News Desk

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus