Miguna atoroka au aondoka tuu? Na nduguye abeba msalaba wa kakake, na kushambuliwa na wakazi wa nyando; Kejeli ya shirika la kws yazua gadhabu ya wamaasai ; Kiu cha mvinyo, mikahawa ya pombe yafungwa nyeri; Michezoni, makaribisho kabambe kwa wanariadha chipukizi