Wanariadha wa Kenya wataanza kusafiri kuelekea jijini London nchini Uingereza kuanzia tarehe 22 mwezi huu licha ya wao kutaka kusafiri kuanzia tarehe 30 kwani shindano la kwanza ambalo kenya itashiriki litaandaliwa tarehe tatu Agosti. Hayo ni kwa mujibu wa maafisa wakuu wa michezo nchini. Huyu hapa mwanahabari Victotr Ogalle na taarifa kamili kutoka uga wa Kasarani.