Sports: Coca Cola yafadhili timu ya olimpiki.

Added on July 16, 2012
Share this video on:
Kampuni ya Coca Cola mapema hii leo imetangaza ufadhili wa shilingi milioni tano kwa timu ya olimpiki.Timu hiyo ambayo iko kambini katika uwanja wa kasarani ilikuwa na bajeti ya nusu bilioni na kujitokeza kwa Coca Cola kutasaidia pakubwa timu hiyo. Aidha kampuni hiyo imetangaza kuandalia timu hiyo karamu pindi tu watakapowasili nchini uingereza. Hafla hiyo ilihudhuriwa na maafisa wa shirikisho la olimpiki nchini Nock wenzao wa Athletics Kenya na wanariadha wa timu hiyo.timu hiyo ilikabihidwa cheki hiyo na meneja wa kampuni ya Coca Cola Rocky Findley.
Last Modified: 16 Jul 2012 20:31
RSS Feeds

Programme Schedule: 21-05-2013 11:30 EAT

On Air: Nigerian Idol

UpNext »»

12:00Jaramandia la uhalifu rpt
12:00Hapa Kule News
12:30Jaramandia la uhalifu rpt
13:00News Desk
13:30Football Review
14:30Afri Screen

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus