Hatimaye Miguna Miguna amezindua kile kitabu chake cha peeling back the mask ,kitabu ambacho kinaonekana kuingilia upande wa serikali ya ODM , ni kitabu ambacho ameandika mengi yale anayodai ni maovu yanayoteklezewa na viongozi anaodai wanajali tu maslahi kibinafsi na wala hawatumikii serikali.kwa mengi zaidi huyu hapa mwanabari wetu Purity Mwambia