Karen Kandie mama ambaye ani mfanyakazi wa kampuni ya shelter afrique amedai kudhulmiwa na mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo licha ya kuwa aliripoti katika kituo cha polisi hakuna lolote ambalo limefanywa kisheria kwani jamaa huyo amedaiwa kuachiliwa kutokana na kile kimetajwa kama kinga za kidiplomasia. Mwanahabari Hussein Mohammed anatupa taswira jinsi maswala haya yalivyojiri..