1 KTN Video | Maafisa wa KRA wanasa mbolea za kutengeneza vilipuzi

KTN Leo: Maafisa wa KRA wanasa mbolea za kutengeneza vilipuzi

Added on July 12, 2012
Share this video on:
Halmashauri ya KRA imetibua njama ya kuingiza humu nchini mbolea inayotumika kutengenezea vilipuzi. Maafisa wa kra walinasa kilo 20 za potassium nitrate na kilo 20 za sodium baada ya kufanya msako katika bohari moja katika eneo la mpakani huko namanga. Kulingana na afisa wa mauzo wa kra, watu wawili walijaribu kuwahonga maafisa wake, wasikague mzigo wao, waliokuwa wausafirishe katika basi la abiria. Mara ya kwanza kwa bomu kutengenezwa kwa mbolea ilijitokeza baada ya ule mlipuko wa jengo moja katikati mwa jiji la nairobi.
Last Modified: 12 Jul 2012 20:43
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 22:12 EAT

On Air: Love 101

UpNext »»

22:30Nigerian Idol
23:15Kick off Bundesliga
23:59Spin circle
23:59Late Night News

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus