KTN Leo: Mohamed Ali Kuondoka KTN

Added on July 11, 2012
Share this video on:
Mtangazaji mpekuzi wa makala yaliosifika kotekote nchini Jicho Pevu anatarajiwa kuondoka KTN ifikapo mwezi Agosti .Mohammed Ali anaondoka baada ya kuhudumia Shirika hili kwa muda wa miaka sita , wasifu wa Mohammed Ali unatokana na ujasiri wake wa kudhihirisha maovu yaliokomaa katika jamii kuanzia ufisadi , utapeli , wizi na hivi maajuzi makala yaliozuzua nchi ,yale ya Parwanja La Mihadarati , taarifa kutoka kwa shirika la Standard Group zadokeza kuwa Mohammed Ali alikuwa chombo muhimu kwa shirika hili lakini baada ya mazungumzo ya hawakuwa na budi ila kumruhusu kuendeleza taaluma yake kwengineko.
Last Modified: 11 Jul 2012 20:26
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 18:28 EAT

On Air: Hollywood Heights

UpNext »»

18:30KTN Leo
19:30Pasua rpt
20:00Guiness Football Challenge
21:00KTN Prime
21:30Perspective
21:50Love 101

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus