KTN Leo: Kenya: Mswada Dhidi Ya Ugaidi

Added on July 10, 2012
Share this video on:
Je, mswada dhidi ya ugaidi utatoa suluhu kwa Taifa la Kenya? Ni suala linaloninginia kwenye fikra za wengi, huku baadhi wakitumai kuwa kupitia sheria hiyo mashambulizi ya kigaidi ambayo yamekuwa yakishuhudiwa Nchini yatatiliwa kikomo. Lakini viongozi wa dini ya kiIslamu na Mashirika ya Umma wanahisi kuwa kwa suluhu kupatikana sheria hiyo inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kufikishwa Bungeni. Kwa mujibu wao ni kuwa kielelezo cha Sheria hiyo kinakiuka haki za kimsingi zilizonakiliwa chini ya Katiba mpya.
Last Modified: 10 Jul 2012 20:23
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 23:03 EAT

On Air: NBA Highlights rpt

UpNext »»

23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus