KTN Leo: Kalonzo Musyoka: Siasa Za Uhuni

Added on July 10, 2012
Share this video on:
Makamu wa Rais Kalonzo Musyoka amesema waKenya wanastahili kupiga msasa viongozi wanaowania nyadhifa tofauti ili kuwachagua viongozi waaminifu na wenye maadili mema. Kalonzo amesema kuwa baadhi ya wanasiasa wanaowania Urais, ambao hakuwataja kwa majina, wanajihusisha na siasa za uhuni kwa kujipigia debe kama wana mageuzi ilhali si watu wa kuaminika. Kwa upande wake mwenyekiti wa tume ya uwiano Mzalendo Kibunjia amewataka wapiga kura kupiga kalamu viongozi wanaoeneza chuki na uhasama miongoni mwa jamii.
Last Modified: 10 Jul 2012 20:22
RSS Feeds

Programme Schedule: 18-05-2013 20:27 EAT

On Air: El Clon

UpNext »»

21:00KTN Weekend Prime
21:50Box Office Movie: Someone Like you
23:00NBA Highlights rpt
23:30Spin circle

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus