KTN Leo: Thomas Lubanga Ahukumiwa

Added on July 10, 2012
Share this video on:
Mbabe wa kivita kutoka Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Thomas Lubanga ndiye amekuwa mtuhumiwa wa kwanza kuhukumiwa na mahakama ya kimataifa ya jinai ya ICC.Mahakama hio imemfunga Lubanga kifungo cha miaka 14 ,Hukumu hiyo ilitolewa asubuhi ya leo baada ya Lubanga kupatikana na hatia ya kuwatumia vijana wadogo kama wanajeshi kati ya mwaka 2002 na 2003 Kaskazini mwa Nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo.
Last Modified: 10 Jul 2012 18:30
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 16:02 EAT

On Air: Mbiu ya KTN

UpNext »»

16:10KTN Kids
17:00IZ Vipi Mashariki
18:00Hollywood Heights
18:30KTN Leo
19:30Pasua rpt
20:00Guiness Football Challenge

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus