Sports: Makala ya Olympiki: Siku kumi na nane

Added on July 09, 2012
Share this video on:
Zimesalia siku kumi na nane pekee kabla ya kung’oa nanga kwa mashindano ya Olympiki. Hata hivyo timu ya Kenya imeamua kuweka vikwazo wakati wa mazoezi kwani hata wanahabari hawataruhusiwa kupiga picha mazoezi yote kama ilivyokuwa hapo awali. Mwanahabari Victor Ogalle anatufungulia jamvi la michezo akituelezea zaidi kuhusu masharti mapya ya timu ya Kenya.
Last Modified: 09 Jul 2012 20:49
RSS Feeds

Programme Schedule: 25-05-2013 10:50 EAT

On Air: Straight-Up

UpNext »»

12:30Africa speaks
13:00Lunch Time News
13:35NBA Highlights
14:00NBA Basket Ball
15:00Sports Final
16:00Mbiu ya KTN

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus