Shirika la wanyama pori nchini KWS tawi la kaunti ya Meru limemuua mwindaji haramu wa ndovu. Na waziri mkuu wa jamhuri Korea akutana na waziri mkuu Raila Odinga na makamu wa rais Kalonzo Musyoka katika afisi zao. Taarifa hizo ni kwenye mseto wa kaunti.