Majina makubwa katika ulingo wa mbio za masafa marefu yalijikwaa katika kuwania ubingwa wa mbio za sotokoto safari half marathon zilizoshindwa na mwanariadha Victor Chirchir aliyemaliza katika muda wa saa moja sekunde 1 nukta 45 mbele ya peter kimeli na bingwa wa mbio za New York Marathon Geoffery Mutai.