KTN Leo: Makanisa yalindwa Garissa

Added on July 08, 2012
Share this video on:
Kufuatia ongezeko la visa vya mashambulizi katika makanisa kisa cha hivi maajuzi kikiwa cha shambulizi kwenye makanisa mawili mjini Garissa ambapo watu 17 waliaga dunia na wengine takribani 60 kujeruhiwa vibaya, makanisa mbali mbali nchini yameimarisha usalama kwa kuhakikisha kuwa waumini wanakaguliwa na hata wengine kulazimishwa kutoingia kanisani na mikoba yao .
Last Modified: 08 Jul 2012 22:42
RSS Feeds

Programme Schedule: 18-05-2013 14:32 EAT

On Air: NBA Basket Ball

UpNext »»

15:00Sports Final
16:00Mbiu ya KTN
16:10National Geographic
17:30Case files
18:00Futbol Mundial
18:30KTN Leo

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus