Na kwenye mkusanyiko wa taarifa za kaunti mbalimbali viongozi kutoka Pwani wapendekeza mswada wa ugaidi ufanyiwe marekebisho kabla ya kupitishwa na kuwa sheria, na watu watatu waliojidai kuwa wanahabari wakamatwa huko mjini kisii. Taarifa hizi na nyenginezo ni katika mseto wa kaunti.