1 KTN Video | Wakongwe wa maumau wataka usaidizi

KTN Leo: Wakongwe wa maumau wataka usaidizi

Added on July 07, 2012
Share this video on:
Wakongwe walioshiriki vita vya maumau nchini wameitaka serikali ya Kenya kuwapa msaada wa kifedha kusaidia katika kesi wanayowasilisha dhidi ya serikali ya uingereza kuhusu mateso waliyopitia chini ya uongozi wa mkoloni kabla ya kenya kupata uhuru.wakongwe hao wakiongozwa na tume ya kutetea haki za kibinadam nchini wametangaza safari ya kusikizwa kwa awamu ya pili ya kesi yao baada ya mahakama kuu ya uingereza kuwapa ruhusa ya kuishtaki Uingereza.
Last Modified: 07 Jul 2012 20:55
RSS Feeds

Programme Schedule: 22-05-2013 18:36 EAT

On Air: KTN Leo

UpNext »»

19:30Pasua rpt
20:00Guiness Football Challenge
21:00KTN Prime
21:30Perspective
21:50Love 101
22:30Nigerian Idol

Entertainment

  • KTN Programmes
  • Pick of the Day
  • Promos
  • KTN SHOWS
  • Entertainment
  • Video of the Day
  • Midmorning
  • Tujuane
  • KTN Comedies
  • Better Days
  • Shuga
  • Ajabu
  • Str8up
  • Tukuza
  • Izvipi
Loading...
Loading...
comments powered by Disqus